- 621 viewsDuration: 4:34Kaunti ya Kajiado, moja ya kaunti kame na inayokumbwa mara kwa mara na ukame nchini, sasa inanufaika na mpango wa kisayansi wa uzalishaji wa mifugo unaolenga kuongeza idadi ya mifugo kupitia matumizi ya teknolojia ya homoni, huku kaunti nne nyingine zikilengwa katika awamu zitakazofuata.