Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa uji waimarisha mahudhurio ya wanafunzi Ndaragwa

  • | Citizen TV
    685 views
    Duration: 2:00
    Watoto katika Wadi ya Leshau Pondo, Ndaragwa, wameanza kunufaika na mpango wa uji shuleni unaolenga kuboresha lishe na kuongeza mahudhurio ya wanafunzi. Mpango huo umeonekana kuwahamasisha wanafunzi kuhudhuria masomo kwa wingi.