- 16,366 viewsDuration: 1:19Mpigapicha Allans Ademba ambaye anajulikana kwa kampeni yake ya "NIKO KADI" amekamatwa na maafisa w apolisi huko Ol Kalou. Haijulikani amekamatwa kwa makosa gani kwani awali alikuwa akiangazia jinsi mambo yalivyokuwa yakiendelea katika vituo vya kupigia kura. Licha ya hayo, hali ya utulivu imeshuhudiwa kwenye uchaguzi huo huku maafisa wa usalama wakiimarisha doria ndani na nje ya vituo vya kupigia kura.