Skip to main content
Skip to main content

“Mr Speaker Sir” afikishwa mahakamani kwa uvamizi wa Bunge

  • | Citizen TV
    8,486 views
    Duration: 1:32
    Kijana aliyeingia Bunge wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka 2024 amefikishwa mahakamani. Ezekiel Nzyoki Kyama, anayejulikana kama “Mr Speaker Sir”, ameshtakiwa kwa makosa ya uharibifu wa mali na uvamizi wa Bunge. Ezekiel alipinga madai ya kuharibu mali ya thamani ya shilingi milioni 41. Wakili wake Babu Owino aliiomba mahakama imuachilie kwa dhamana. Hakimu alikubali ombi hilo na kumuachilia mshukiwa kwa dhamana ya shilingi laki moja. Kesi hiyo itatajwa tena Julai 14.