26 Jun 2026 11:46 am | Citizen TV 102 views Duration: 1:50 Uhaba Wa maji eneo la Chasimba kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi, lapata suluhu baada ya uzinduzi wa mradi wa maji yatakayosambazwa katika vijiji vitano.