Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa Mwache wachochea ujenzi wa mabwawa madogo 16

  • | Citizen TV
    5,992 views
    Duration: 2:07
    Mradi wa Bwawa la Mwache umechochea mipango ya kujenga mabwawa madogo 16 katika eneo hilo, huku takriban wakazi 35,000 wanatarajiwa kunufaika na usambazaji wa maji Kasezeni na Mwavumbo.