- 473 viewsDuration: 3:55Kama njia mojawepo ya kuchochea maendeleo ya kibiashara na kufanikisha masomo katika shule zote za mashinani Turkana kupitia mtandao,serikali ya ufaransa ikishirikiana na serikali ya kaunti ya Turkana,imezindua zoezi la kuunganisha stima kwa vijiji na vitongoji 27 Turkana,kawi inayotumia miale ya jua.