- 31,692 viewsDuration: 2:56Haya yalipokuwa yakiendelea, msafara wa Linda Mwananchi ulivamiwa na kurushiwa vitoa machozi ulipokuwa ukikaribia kuingia Homa Bay mjini jioni ya leo, huku gari moja likichomwa. Wanasiasa wa Linda Mwananchi wakikashifu uvamizi wa msafara wa magari yao na kufungiwa barabara kuu kuendesha mikutano yao kaunti hiyo. Pia wamemkashifu Rais William Ruto pamoja na viongozi wanaoegemea upande wa serikali kwa kuwanyima haki ya kujumuika kwa mikutano yao. Emmanuel Too na mengi zaidi.