15 Jun 2026 1:18 pm | Citizen TV 206 views Duration: 1:12 Huku serikali ikiendelea kujitahidi kukabiliana na msambao wa virusi vya Ebola nchini, Shirika la Msalaba Mwekundu limetoa ufadhili wa vifaa vya kukabiliana na maambukizi ya virusi hivyo katika mpakani wa Busia.