18 Apr 2026 7:48 pm | Citizen TV 1,598 views Duration: 1:31 Mshukiwa mmoja ametia nguvuni huko Marura kaunti ya Kirinyaga kwa madai ya kuhusishwa na ubakaji pamoja na mauaji ya kikatili ya ajuza aliyekuwa na umri wa miaka 104.