Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa aliyetoroka korokoroni amakamatwa Nyamira

  • | Citizen TV
    3,770 views
    Duration: 1:22
    Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Meshach Mainye Miyaki ambaye atoroka korokoroni hatimaye akamatwa tena. Mshukiwa huyo alikuwa atoroka kutoka kituo cha polisi cha Sengera Manga katika kaunti ya Nyamira.