- 18,225 viewsDuration: 3:42Mshukiwa wa mauaji ya Alice Rianga, mwanafunzi wa chuo kikuu aliyepatikana ameuawa msituni huko Bondo, amekamatwa. Mshukiwa huyo, raia wa Tanzania, alikamatwa baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga kugoma hapo jana. Marehemu, ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo hicho, alipatikana ametupwa msituni, mwili wake ukiwa na dalili za kupigwa.