- 1,392 viewsDuration: 2:22Mshukiwa wa sita kwenye kesi ya kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo mwezi Januari mwaka jana, Francis Wachira, alikuwa na kibarua kigumu kueleza matukio yaliyojiri kabla ya kutoweka kwake. Sajenti Wachira, ambaye alikuwa msimamizi wa maafisa wa KWS, alijitetea mahakamani kuhusu matukio hayo.