- 7,159 viewsDuration: 56sYuko wapi Shirleen Wambui Mwaura. Msichana huyo wa miaka 14 alitoweka kutoka nyumbani kwao hapa Nairobi na anatafutwa..Mara mwisho Shirleen Wambui alionekana alikuwa amevalia jeans ya rangi ya Blue, jaketi na viatu vya rangi nyeusi. Yeyote mwenye taarifa kuhusu aliko Shirleen anaombwa awasilishe ripoti kwa kituo cha polisi kilichoko karibu au kuwapigia simu jamaa zake kwa nambari zifuatazo, Leah 0721255752 au Chege 0702579773.