Skip to main content
Skip to main content

Msichana wa miaka 22 afariki Kileleshwa kwenye BNB, polisi wachunguza

  • | Citizen TV
    47,871 views
    Duration: 3:15
    Maafisa wa upelelezi hapa Nairobi wanachunguza kifo tata cha msichana wa miaka 12 katika jumba moja eneo la kileleshwa. Consolata Githinji alifariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya sita ya jumba hilo. Ode Francis anaarifu huku picha za cctv zikionyesha dakika za mwisho kabla ya kifo chake na sasa polisi wanamzuilia mshukiwa mmoja.