Skip to main content
Skip to main content

Msichana wa miaka mitatu aokolewa baada ya kudaiwa kuteswa na baba yake wa kambo Likoni

  • | Citizen TV
    6,901 views
    Duration: 2:19
    Hata kama ni suala la kula kuku na mayai yake, lakini hii imezidi unyama na uhayawani. Iweje kwa baba, hata kama ni wa kambo, kwenda kumtendea msichana wa miaka mitatu unyama usioweza kuelezeka? Mtoto huyo aliokolewa na majirani huko Likoni, Mombasa, baada ya kusikia kilio chake kutoka kwenye nyumba iliyokuwa imefungwa kwa nje. Francis Mtalaki anaripoti.