Skip to main content
Skip to main content

Mswada wa kuwaondoa wabunge wazembe wawasilishwa Bungeni

  • | Citizen TV
    15,605 views
    Duration: 59s
    Kundi la mawakili limewasilisha hoja katika Bunge la Kitaifa likitaka kupitishwa kwa mswada wa kuwaondoa madarakani wabunge wazembe. Mawakili hao wanasema mswada huo ulipitishwa na Seneti, lakini bado haujajadiliwa na umma.