Skip to main content
Skip to main content

Mswada wa wajane kuwahakikishia haki za urithi wa mali za waume wao

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:41
    Tume ya usawa na Jinsia yasema kuwa mswada wa wajane wawahakikishia wajane haki za urithi wa mali za waume wao walioaga dunia na uhuru wa kuolewa tena ikiwa utapitishwa na kuidhinishwa kuwa sheria.