- 3,138 viewsDuration: 2:15Mataa wa Chuna Katika Mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado umepata sura mpya baada ya wakazi kwa Ushirikiano na Mamlaka ya kusimamia barabara za mijini Kura kushirikiana kujenga kilomita moja inayounganisha barabara kuu na eneo hilo.