- 570 viewsDuration: 1:19Mtetezi mmoja wa haki za watoto kutoka kaunti ya Tana River ameanza matembezi ya kilomita 250 kuanzia mjini Hola hadi Malindi kaunti ya Kilifi ili kuchangisha pesa za kujenga nyumba salama za watoto waathiriwa wa dhuluma tofauti katika kaunti hiyo.