Skip to main content
Skip to main content

Mtoto atupwa katika mto Gura na binamu yake

  • | NTV Video
    15,168 views
    Duration: 3:57
    Familia moja katika Kijiji cha Gondo, Kaunti ya Nyeri, ina majonzi kufuatia kifo cha mtoto wao. Mary Wanjiru Muhinja, mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane, anadaiwa kuuawa na binamu yake, Linet Wangechi, ambaye alikiri kumtupa mtoto huyo katika Mto Gura. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya