Skip to main content
Skip to main content

Mtoto auawa Kisaju, mwili wake wapatikana ndani ya gunia

  • | Citizen TV
    4,567 views
    Duration: 3:13
    Wakazi wa eneo la Isinya, kaunti ya kajiado wanalalamikia utovu wa usalama baada ya mwili wa mtoto wa miaka saba aliyeripotiwa kutoweka mapema wiki hii kupatikana umetupwa barabarani. Inaarifiwa kuwa wazazi wa mtoto huyo walipokea simu hapo jana kuwataka walipe pesa za ukombozi kabla ya gunia lililokuwa na mwili wa mtoto huyo kupatikana barabarani hii leo. Na kama anavyoarifu Robert Masai, polisi wanasema wameanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio hilo.