- 2,118 viewsDuration: 1:54Mtoto wa miaka mitatu amefariki baada ya kuzama kwenye kidimbi cha kuogelea huko Mvita kaunti ya Mombasa. Kulingana na familia yake, juhudi za kumwokoa hazikufua dafu kwani hakukuwa na mlinzi wa kidimbwi. Waziri wa elimu kaunti ya mombasa amewataka wanaomiliki vidimbwi kufuata sheria hasa msimu wa likizo.