- 15,960 viewsDuration: 3:51Mtu mmoja amefariki huku mwingine akipigwa risasi kichwani baada ya machafuko kushuhudiwa katika barabara ya Outering jijini Nairobi. Waandamanaji walikuwa wanashinikiza serikali kumuachilia huru au kumfikisha kortini kijana mmoja kwa jina Abdulaziz Duba Molo ambaye alidaiwa kutekwa nyara tarehe 23 mwezi Juni 2026. Na kama anavyoarifu Ode Francis, waandamanaji waliwapora wapita njia na wenye magari huku barabara za Juja kuelekea Outering na Mathare zikifungwa.