Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja ajeruhiwa vibaya kwenye maandamano huko Moyale kaunti ya Marsabit

  • | Citizen TV
    2,249 views
    Duration: 1:28
    Vijana wa maeneo bunge ya Saku na Moyale wanalalamikia maswala kadhaa ikiwemo kuakamatwa kwa wazee wawili kwa njia ya kutatanisha huko Sololo, mauaji ya kiholela na unyakuzi wa ardhi. kadhalika kumekuweko na mzozo wa mpaka kati ya kaunti ya marsabit na Wajir eneo la Titu huku viongozi wakiomba wizara ya usalama kuingilia kati kuzuia maafa.