Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi ataka kanisa lipatanishe serikali na upinzani

  • | Citizen TV
    2,619 views
    Duration: 3:00
    Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amewataka viongozi wa kanisa kuingilia kati na kusaidia kupunguza joto la kisiasa nchini. Mudavadi, aliyekuwa akihudhuria hafla ya Kanisa Katoliki jijini Nairobi, ameyataka makanisa kuanzisha mazungumzo kati ya serikali na upinzani ili kupunguza malumbano ya kisiasa. Wakati huo huo, viongozi wa makanisa wameonya kuwa ukosefu wa ajira na hali ngumu ya uchumi ndio sababu kuu ya vijana kutumiwa vibaya kisiasa. Willy Lusige anaripoti.