7 Sep 2026 1:20 pm | Citizen TV 30,956 views Duration: 1:00 Mume wa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir Hassan, ameaga dunia mapema leo. Hafidh alikuwa akipokea matibabu ya moyo katika hospitali nchini Tanzania kabla ya kifo chake huko Zanzibar.