Skip to main content
Skip to main content

Murkomen alaaani utekaji nyara wa Alex Kiprotich

  • | Citizen TV
    3,086 views
    Duration: 2:44
    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen sasa anasema kuwa kutekwa nyara kwa mhariri wa kampuni ya Standard Group Alex Kiprotich ni aibu na ukatili mkubwa. Murkomen akisema amewaagiza maafisa wa usalama kuchunguza tukio hilo la waliohusika kuchukuliwa hatua. Haya yanajiri huku polisi wakisema kuwa wanasubiri mwanahabari huyo apate nafuu kabla ya kuandikisha taarifa naye