Skip to main content
Skip to main content

Murkomen amshutumu Gachagua kwa siasa chafu.

  • | Citizen TV
    1,583 views
    Duration: 54s
    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amemsuta kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, kwa kile anachodai ni kufanya siasa za uhuni. Murkomen amesema kuwa Gachagua anaendeleza siasa chafu na hastahili kuongoza.