- 429 viewsDuration: 1:10Katika Kaunti ya Vihiga, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameonya kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahalifu nchini. Akizungumza katika kongamano la Jukwaa la Usalama, Waziri murkomen ametoa wito kwa Inspekta Jenerali wa polisi kutuma vikosi zaidi vya dharura eneo hilo ili kuwasambaratisha wahalifu hao.