Skip to main content
Skip to main content

Museveni aapishwa rasmi kuanza muhula mpya wa urais Uganda

  • | Citizen TV
    7,398 views
    Duration: 3:51
    Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ameapishwa rasmi kuanza muhula wake mpya kama Rais wa taifa hilo, akiendelea kujikita kama mmoja wa viongozi waliosalia madarakani kwa muda mrefu zaidi barani Afrika. Ni tukio ambalo limekuwa kawaida kwa historia ya siasa za Uganda, lakini leo lilikuwa na uzito kwa Museveni kuongoza kwa miongo arobaine sasa