Skip to main content
Skip to main content

Musyi FM yaimarisha kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia

  • | Citizen TV
    232 views
    Duration: 1:39
    Kituo cha Musyi FM, kinachomilikiwa na Kampuni ya Royal Media Services, kimeimarisha kampeni za kupambana na ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto katika Kaunti ya Machakos.