Skip to main content
Skip to main content

Mutula Kilonzo Jr aikosoa serikali kuhusu kituo cha karantini ya Ebola

  • | Citizen TV
    714 views
    Duration: 2:36
    Mutula Kilonzo Jr. ameikosoa serikali kwa hatua ya kujenga kituo cha karantini ya wagonjwa wa virusi vya Ebola, akidai kuwa hatua hiyo inatekelezwa kinyume na matakwa ya Wakenya pamoja na agizo la mahakama.