2 Apr 2026 1:18 pm | Citizen TV 154 views Duration: 2:01 Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) tawi la Laikipia umesitisha mgomo wa wauguzi na wakunga uliokuwepo baada ya kutia saini Mfumo wa Kurejea Kazini na Serikali ya Kaunti ya Laikipia.