- 20,433 viewsDuration: 2:35Muungano wa upinzani sasa unasema umekubaliana kuungana na kumpigia debe mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kupitia taarifa ya pamoja baada ya kongamano hapa Nairobi, viongozi hao waliahidi kuweka tofauti zao kando ili kumfurusha Rais William Ruto ofisini. Muungano wa Linda Mwananchi umewasilisha kesi mahakamani kupinga hatua ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa kuzuia usajili wa mrengo huo kuwa chama cha kisiasa. Emmanuel Too anatuarifu zaidi.