- 449 viewsDuration: 2:08Muungano wa wanasosholojia wa kutetea maslahi ya wafanyakazi katika miradi ya serikali na ya kibinafsi umeanzishwa rasmi, ukiwa na lengo la kuhakikisha haki za binadamu zinaheshimiwa. Kuanzishwa kwa muungano huu kunatarajiwa kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 600 ambazo zimekuwa zikipotea katika miradi ya maendeleo kutokana na ukiukwaji wa maslahi ya wafanyakazi, hali inayochangia migomo.