- 1,022 viewsDuration: 2:39Kijana wa miaka 14 ametoweka nyumbani kwao eneo la kerugoya baada ya familia yake kulalamikia uwezo wa kumpeleka sekondari ya juu aliyotakiwa kujiunga nayo. Benjamin alitoweka wiki moja iliyopita. Hadi sasa, familia inaendelea kumtafuta kijana huyu.