Skip to main content
Skip to main content

Mvulana wa miaka 17 akamatwa kwa tuhuma za kumuua rafikiye Likuyani

  • | Citizen TV
    4,121 views
    Duration: 1:48
    Mvulana mwenye umri wa miaka kumi na saba katika kijiji cha Marakaru wadi ya Sango eneo bunge la Likuyani ambaye pia ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya upili ya Friends Kongoni, anadaiwa kumuua kwa kumkatakata rafikiye ambaye pia ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo ya upili ya friends kongoni,