4 Sep 2026 7:59 pm | Citizen TV 1,215 views Duration: 1:10 Waziri wa Michezo Salim Mvurya amezuru uwanja wa michezo wa Vindo, eneo bunge la Voi, Kaunti ya Taita Taveta, kutathmini maendeleo ya ujenzi wa uga huo. Uwanja huo una uwezo wa kubeba mashabiki 10,000.