Waziri wa masuala ya vijana, uchumi wa ubunifu na michezo, Salim Mvurya, amewahimiza wakazi wa Pwani kudumisha umoja na kuepuka siasa za migawanyiko au ukabila zinazoweza kurudisha nyuma maendeleo ya eneo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya