Skip to main content
Skip to main content

Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani

  • | BBC Swahili
    21,356 views
    Duration: 1:48
    Baada ya makubaliano ya kusitisha vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa wiki mbili yakianza kutekelezwa, mataifa yanayozalisha mafuta yameanza kupata umaarufu kwani yamegeuka kuwa tegemeo la mataifa mengi. Asha Juma anatuelezea mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani #bbcswahili #Marekani #MafutaIran Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw