- 4,459 viewsDuration: 1:44Mjadala kuhusu nani anafaa kuwa mgombea mwenza wa Rais William Ruto kwenye uchaguzi wa mwaka ujao unazidi kutokota huku viongozi wa ODM na UDA wakivutia upande wao. Huku viongozi wa UDA wakisisitiza umuhimu wa Naibu Rais Kithure Kindiki kusalia kwenye wadhifa huo, wale wa ODM wanataka kupewa nafasi hiyo kama ishara ya umuhimu wao katika serikali ya muungano. Viongozi hao wamezungumza katika hafla mbalimbali.