- 1,270 viewsDuration: 6:23Mwaka wa 2025 ulikuwa na masaibu chungu nzima kwa wanahabari, haswa kuvamiwa na polisi wakati walipokuwa wakitekeleza majukumu yao. Ben kirui ni mmoja wa wanahabari waliojipata kwenye hali hiyo na hii hapa simulizi ya matukio aliyooangazia.