Skip to main content
Skip to main content

Mwaka wangu: Mauaji, Kware na Jumaisi

  • | Citizen TV
    9,666 views
    Duration: 9:52
    Mwaka wa 2025 ulitajwa kuwa mwaka uliokuwa na visa zaidi vya mauaji ya wanawake, huku takriban kila wiki, vifo vya wanawake waliouawa kwenye dhulma mbalimbali vikiripotiwa. Mojawapo ya visa vilivyogonga vichwa vya habari kwa muda ni kile cha mauaji ya wanawake eneo la quarry mtaani Pipeline ambapo miili ya wanawake ilipatikana kwenye magunia ikiwa vipande vipande