Skip to main content
Skip to main content

Mwakilishi wadi ya Ichuni Wycliffe Siocha avamiwa kwenye karakana

  • | Citizen TV
    4,734 views
    Duration: 2:07
    Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii waanzisha uchunguzi kufuatia uvamizi uliotekelezwa dhidi ya mwakilishi wadi ya Ichuni, Wycliffe Siocha ambaye kwa sasa aendelea na matibabu maalum katika hospitali moja mjini Kisii.