Skip to main content
Skip to main content

Mwanabiashara afikishwa mahakamani Narok kwa madai ya ufisadi

  • | Citizen TV
    922 views
    Duration: 1:53
    Mwanabiashara mmoja anayedaiwa kuwa na ushawishi mkubwa serikalini amefikishwa mbele ya mahakama katika kaunti ya Narok kujibu mashtaka yanayohusiana na tuhuma za ufisadi. Kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa mahakamani huku upande wa mashtaka ukitarajiwa kuwasilisha ushahidi unaounga mkono madai dhidi yake.