- 1,000 viewsDuration: 3:06Mwanafunzi wa kidato cha tatu kutoka shule ya Kenya High amepatikana baada ya kupotea kwa wiki sita. Joy Wanjiru alipatikana huko Thika Kaunti ya Kiambu huku hali yake ya kiafya ikionyesha dalili za mafadhaiko na uchovu kabla ya kufikishwa katika hospitali ya rufaa ya Nyeri kwa matibabu. Familia imeelezea afueni baada ya wiki kadhaa za mahangaiko