Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi wa miaka 14 apigwa risasi Mombasa baada ya sherehe ya mwaka mpya

  • | Citizen TV
    9,213 views
    Duration: 3:03
    Familia moja eneo la Utange, Mombasa inalilia haki baada ya mwana wao mwenye miaka 14 kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa polisi saa chache baada ya sherehe ya kuvuka mwaka. Dennis Ringa aliyefanya mtihani wa KPSEA mwaka jana alikuwa akielekea nyumbani wakati maafisa wawili walipotokea na pikipiki, kwa mshtuko kijana huyo alianza kukimbia nyumbani kabla ya kufyatuliwa risasi