Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati Aslam Longton akamatwa Kitengela

  • | Citizen TV
    872 views
    Duration: 2:35
    Mwanaharakati wa Kitengela Aslam Longton alikuwa miongoni mwa zaidi ya watu 60 waliokamatwa katika eneo hilo leo. Kwa kiasi fulani, shughuli za biashara na huduma za uchukuzi zilitatizwa huku hali ya taharuki ikishuhudiwa kwa muda. Hata hivyo, kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili, eneo la Kitengela lilishuhudia utulivu mkubwa licha ya matukio ya kukamatwa.