- 5,221 viewsDuration: 2:48Mwanaharakati Collins Otieno anadai aliteswa na watu waliomteka nyara, huku ripoti za matibabu zikibaini kuwa ana majeraha kifuani na kichwani, pamoja na kuvunjika kwa miguu. Collins alipatikana Ijumaa usiku katika barabara kuu ya Thika, siku tatu baada ya kuripotiwa kutoweka. Inasemekana kuwa Collins hakumbuki yaliyompata wakati alipokuwa ametoweka.